Get In Touch

+255 764 608 640
+255 787 042 650

info@venazone.com
venanceemmanuel6@gmail.com

HQ Office
Mbeya, Tanzania

Frequently Asked Question!

NDIYO, wasiliana nasi kwa email, namba za simu na kwa website. Tutakujibu kwa wakati na kukufikishia bidhaa unayoihitaji mpaka karibu kabisa na ulipo.

Unaweza kutangaza nasi kwa website, na mitandao mingine ya kijamii ikiwa ni pamoja na instagram na facebook. Wasiliana nasi kwa maelezo Zaidi

NDIYO, Kukuhudumia na kukushauri ni sehemu ya wajibu wetu. Tutakukutanisha na watu kadha watu wa aina tofauti tofauti na kukushauri kulingana na unachokipenda na mtaji ulionao. Sambamba na hiyo tutakushauri kulingana na sababu za wewe kufanya biashara husika maana hayo ndiyo msingi wa biashara yoyote.

HAPANA, Tunakupokea na tunaweza kufanya biashara pamoja.

Katika ukurasa wetui wa VenaCare na Read with us utajifunza mambo mengi yanayolenga kujenga afya yako na kukuza ufikiri wako. Makala, vitabu na nukuu mbalimbali utazipata hapo. Sambamba na hayo unaweza pia kututumia maoni yako nasi tutayazingatia na kufanyia kazi ipasavyo.