VenaCare

vegetables, carrots, garlic

Ujue umuhimu wa vitamin “A” kwa afya yako

Mwili wa binadamu huhitaji vitamin ili kuulinda mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali. Tofauti na makundi mengine ya vyakula (mfano protini, wanga na mafuta) vitamin huhitajika kwa kiasi kidogo. Kuna aina nyingi sana za vitamin zinazohitajiwa katika mwili wa binadamu. Hata hivyo vitamin A ina upekee wake na umuhimu mkubwa katika mwili hasa ikizingatiwa kuwa watu …

Ujue umuhimu wa vitamin “A” kwa afya yako Read More »

fruits, vegetables, artichoke

ITUNZE SANA AFYA YAKO

Afya ni nini? Afya  ni hali ya kuwa vizuri kimwili, kiakili na kijamii (siyo lazima iwe kutokuwa mgonjwa). Tafsiri hii ndiyo inayotumiwa na shirika la afya ulimwenguni (WHO) kwa miongo kadhaa. Tafsiri hii inalenga Zaidi kumaanisha afya ni hatua inayofikiwa baada ya mchakato mrefu wa kuitafuta ama wa kujitenga na vitu vinavyoweza kutuathiri kimwili, kiakili …

ITUNZE SANA AFYA YAKO Read More »

Mabadiliko yatakayotokea kutokana na ugonjwa wa Corona

Mabadiliko ni kitu cha lazima. Wakati jamii kubwa inawaza hali halisi ya ugonjwa (kuugua na kufa) uhalisia ni kwamba kila nyanja itaathiriwa. Sekta ya uchumi, siasa na hata jamii na utamaduni vyote vitabadilika. Nani ajuye kama hayo mabadiliko ni mazuri au mabaya? Dunia nayo haijui bali inasubiria kuona ili iseme. Katika yote ni muhimu sana …

Mabadiliko yatakayotokea kutokana na ugonjwa wa Corona Read More »