Ujue umuhimu wa vitamin “A” kwa afya yako
Mwili wa binadamu huhitaji vitamin ili kuulinda mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali. Tofauti na makundi mengine ya vyakula (mfano protini, wanga na mafuta) vitamin huhitajika kwa kiasi kidogo. Kuna aina nyingi sana za vitamin zinazohitajiwa katika mwili wa binadamu. Hata hivyo vitamin A ina upekee wake na umuhimu mkubwa katika mwili hasa ikizingatiwa kuwa watu …








