Venazone

vegetables, carrots, garlic

Ujue umuhimu wa vitamin “A” kwa afya yako

Mwili wa binadamu huhitaji vitamin ili kuulinda mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali. Tofauti na makundi mengine ya vyakula (mfano protini, wanga na mafuta) vitamin huhitajika kwa kiasi kidogo. Kuna aina nyingi sana za vitamin zinazohitajiwa katika mwili wa binadamu. Hata hivyo vitamin A ina upekee wake na umuhimu mkubwa katika mwili hasa ikizingatiwa kuwa watu …

Ujue umuhimu wa vitamin “A” kwa afya yako Read More »

fruits, vegetables, artichoke

ITUNZE SANA AFYA YAKO

Afya ni nini? Afya  ni hali ya kuwa vizuri kimwili, kiakili na kijamii (siyo lazima iwe kutokuwa mgonjwa). Tafsiri hii ndiyo inayotumiwa na shirika la afya ulimwenguni (WHO) kwa miongo kadhaa. Tafsiri hii inalenga Zaidi kumaanisha afya ni hatua inayofikiwa baada ya mchakato mrefu wa kuitafuta ama wa kujitenga na vitu vinavyoweza kutuathiri kimwili, kiakili …

ITUNZE SANA AFYA YAKO Read More »

money, euro, cash

KANUNI YA UCHUMI (BAJETI) YA 50%-30% NA 20%

Kuna kanuni nyingi sana zinazojaribu kuelezea matumizi mazuri ya pesa (kipato). Hata hivyo kanuni ya 50-30-20 ni ya kipekee sana. Umaarufu wa kanuni hii huenda umeongezeka kwa kasi sana siku za hivi karibuni na huenda ikachangiwa Zaidi na ugumu wa kipato na umuhimu wa kutunza akiba. Ikumbukwe kuwa hii kanuni hii inahusika Zaidi na kiasi …

KANUNI YA UCHUMI (BAJETI) YA 50%-30% NA 20% Read More »

wedding dresses, fashion, bride

NI KWA NINI WANAWAKE WEMA HAWAOLEWI (WANABAKI SINGLE) ???? Wanawake wabaya wanaolewa kila kukicha ……….

Kitabu kilichoandikwa na Nelson Asuen kimeangazia vidokezo kadhaa dhahiri kwa swali hili muhimu.  Kitabu hiki kifupi, cha ajabu na kitamu kimekuwa zana ya kushawishi kwangu wakati wa kuandika kuhusu jambo hili muhimu.  Mtu angeuliza wanawake wema wakoje?  Hawa ni wale ambao wamejitolea maisha yao kufuata njia za Mungu na kwa kweli wanashinda kanisani au msikitini.  …

NI KWA NINI WANAWAKE WEMA HAWAOLEWI (WANABAKI SINGLE) ???? Wanawake wabaya wanaolewa kila kukicha ………. Read More »

wedding dresses, fashion, bride

WHY GOOD GIRLS REMAIN SINGLE???? Bad girls are getting married every now and then…………..

A book WHY GOOD GIRLS REMAIN SINGLE by Nelson Asuen has pin pointed some noticeable hints to this important question. This short, wonderful and sweet book has been a convincing tool to me when writing this important matter. One would ask who are good girls? These are those who have dedicated their lives to pursue …

WHY GOOD GIRLS REMAIN SINGLE???? Bad girls are getting married every now and then………….. Read More »

Mabadiliko yatakayotokea kutokana na ugonjwa wa Corona

Mabadiliko ni kitu cha lazima. Wakati jamii kubwa inawaza hali halisi ya ugonjwa (kuugua na kufa) uhalisia ni kwamba kila nyanja itaathiriwa. Sekta ya uchumi, siasa na hata jamii na utamaduni vyote vitabadilika. Nani ajuye kama hayo mabadiliko ni mazuri au mabaya? Dunia nayo haijui bali inasubiria kuona ili iseme. Katika yote ni muhimu sana …

Mabadiliko yatakayotokea kutokana na ugonjwa wa Corona Read More »